Luke 9:10

10 aMitume wake waliporudi, wakamweleza Isa yote waliyofanya. Akawachukua, akaenda nao faraghani mpaka mji uitwao Bethsaida.
Copyright information for SwhKC